Ushahidi: Sasa ni dhahiri upinzani unakufa!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Kufa in kufa tu. Ufe kwa uwoga, ufe kizembe ama ufe kivyovyote utakuwa umekufa tu.

Upinzani unakufa. Ndiyo! Unakufa kwa sababu vyama vya upinzani vinapoteza wanachama.

Watu ni waoga. Wanaogopa hata kujitambulisha kuwa wako upinzani na ktk kugombea nafasi mbalimbali mfano chaguzi za marudio za udiwani zinazoendelea.

Wameingiwa uwoga kwasabab ya matukio ya kutisha yanayofanywa na wasiojulikana nchi nzima yaliyopelekea wapinzani kupoteza maisha, kujeruhiwa na kupotea.

Hiki ndiyo kifo chenyewe cha upinzani. Mitaani huku ukitaka ugombane na MTU muite kamanda....
Na kinachowatisha zaidi wanasema kama viongozi wakuu tu wa chadema wanasota na kesi, vipi wao:walala hoi?

Wapinzani sasa wanajificha kabisa huku mtaani. Hali ni tete!

[HASHTAG]#Mtanikumbuka[/HASHTAG].
 
Safi sana, ngoja niongeze Bia bariiiidi, na wakwende hatuwamiss!
 
Siku ukija kujua kuwa unatumika bila kujua itakua too late,
Mambo hayatokei kwa bahati mbaya,
watu waliumiza vichwa nakufanya yatokee,
Yanayotokea ni sehemu ya mpango wa kesho,
Mpango wa kesho ukifika utakua ushachelewa na ukistuka utakua tayari ulishatumika kama ndom.
 
Safi sana, ngoja niongeze Bia bariiiidi, na wakwende hatuwamiss!
Ndugu yangu, hao wasiojulikana watakapo kosa wa kutumwa kwenda kuwashughulikia ndio hao watakapo wageuka na kuwa magaidi na tabu mtaipata.
Jifunze habari za makundi ya kina Osama na Alshabab yalianzaje na nini kimefanya wakawa mwiba mchungu kwa waanzilishi. Watawamaliza wapinzani wenu lakini hapo kiu ya damu itakuwa kubwa na pakuipata hawapaoni ndio wataitaka yenu
 
Kufa in kufa tu. Ufe kwa uwoga, ufe kizembe ama ufe kivyovyote utakuwa umekufa tu.

Upinzani unakufa. Ndiyo! Unakufa kwa sababu vyama vya upinzani vinapoteza wanachama.

Watu ni waoga. Wanaogopa hata kujitambulisha kuwa wako upinzani na ktk kugombea nafasi mbalimbali mfano chaguzi za marudio za udiwani zinazoendelea.

Wameingiwa uwoga kwasabab ya matukio ya kutisha yanayofanywa na wasiojulikana nchi nzima yaliyopelekea wapinzani kupoteza maisha, kujeruhiwa na kupotea.

Hiki ndiyo kifo chenyewe cha upinzani. Mitaani huku ukitaka ugombane na MTU muite kamanda....
Na kinachowatisha zaidi wanasema kama viongozi wakuu tu wa chadema wanasota na kesi, vipi wao:walala hoi?

Wapinzani sasa wanajificha kabisa huku mtaani. Hali ni tete!

[HASHTAG]#Mtanikumbuka[/HASHTAG].
Hakuna mahali popote katika dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu , wakati wewe unasema upinzani unakufa leo kuna wenzako walisema Upinzani utakufa kabla ya 2015 .

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu .
 
Hapana mkuu. Kuna mahala ambapo chadema wamelazimika kumuomba mtu achukuefomu ya kugombea udiwani. Walikuwa washakosa mgombea.

Hakuna kitu kigumu kama kuhujumu anayependwa ili ww upendwe. Utafanikiwa kwa muda mfupi na revange yake itakuacha na majuto ya muda mrefu. Ccm hata iifanyie nini cdm itakuwa ngumu kuteka nyoyo za wananchi. Leo mtaendesha udhalimu dhidi ya cdm kwakuwa ndio inayopendwa ili ife, huenda hilo jina likafa kweli, lakini huo upinzani haufi na kwakuw utakuw hai ni lazima itatokea upinzani utakaoendana na ukatili uliopo, hapo nakuhakikishia wote wanaofanya udhalimu sasa watalipia udhalimu wao.

Mfano mrahisi akina Sumaye na Lowassa walipokuwa madarakani wangeamini kama leo wangejikuta na hali waliyo nayo? Ule udhalimu waliowafanyia na kuona sawa kufanyiw wapinzani leo ndio stahiki yao. Huyu Mwigulu enzi za JK akiwa madarakani alifanya ukatili w kutisha na kukejeli wapinzani hadharani, uliona juzi alivyofukuzwa kazi kwa kejeli na dharau. Kule alikoamini ni salama kwake na yale aliyoamini ni salama kuyafanya leo hii anajisikia vipi? Hiyo ni mifano michache. Nakuhakikkishia tuombe uzima, utakuja kuona mambo ya kutisha na hutokaa uamini kile kitakachotokea. Shabikia na jivunie uovu lakini matokea ya huu uovu utakuja kuyaona.
 
Upinzani kama kufa ungekufa Zanzibar kwanza, kule usingekuwepo kabisa. Hayo yote yanayoendelea huku kwetu kule kwa wenzetu ni marejeo tu, wameuwawa na wanaendelea kuwawa, wamebambikiziwa kesi, wanawake wamebakwa, wamenyanganywa mali, wamefukuzwa makazini, watoto wamenyimwa elimu na mengine mengi sana. Niliwahi kuishi kule kwa miaka kadhaa na nimeyaona mengi. Upinzani upo moyoni mkuu na hauwezi kufa.
 
Ongeza na damu moto... Ila upinzani hauwezi kufa ndo umeimarika zaidi kinachofuata ni machafuko makubwa because we have a bloodthirsty president.
Hakuna nchi iliyowahi kuomba vita, vita hulazimishwa kuja na watawala wapumbavu kama Magufuli.
msijidanganye Eti kuna jeshi unadhani mataifa yaliyomwaga damu hayakuwa na majeshi?
Muda utaongea.

Watanzania hatuwezi kuinginzwa vitani na Wapumbavu labda vita ya kumgombania Mangi Kimambi!
 
Kufa in kufa tu. Ufe kwa uwoga, ufe kizembe ama ufe kivyovyote utakuwa umekufa tu.

Upinzani unakufa. Ndiyo! Unakufa kwa sababu vyama vya upinzani vinapoteza wanachama.

Watu ni waoga. Wanaogopa hata kujitambulisha kuwa wako upinzani na ktk kugombea nafasi mbalimbali mfano chaguzi za marudio za udiwani zinazoendelea.

Wameingiwa uwoga kwasabab ya matukio ya kutisha yanayofanywa na wasiojulikana nchi nzima yaliyopelekea wapinzani kupoteza maisha, kujeruhiwa na kupotea.

Hiki ndiyo kifo chenyewe cha upinzani. Mitaani huku ukitaka ugombane na MTU muite kamanda....
Na kinachowatisha zaidi wanasema kama viongozi wakuu tu wa chadema wanasota na kesi, vipi wao:walala hoi?

Wapinzani sasa wanajificha kabisa huku mtaani. Hali ni tete!

[HASHTAG]#Mtanikumbuka[/HASHTAG].
Kwa hiyo upinzani unakufa au unauawa
 
Upinzani unakufa kwenye fikra zako tu,
Wapinzani ni wengi kuliko unavyofikiria,
Upinzani wa kweli upo mioyoni mwa watu,
Upinzani haufi bali unafunikwa na kasha la woga,
Trust me, subiri 2020 kampeni za kitaifa zikifunguliwa rasmi utafuta maneno yako.
Mungu akubariki mtanzania mzalendo
 
Kufa in kufa tu. Ufe kwa uwoga, ufe kizembe ama ufe kivyovyote utakuwa umekufa tu.

Upinzani unakufa. Ndiyo! Unakufa kwa sababu vyama vya upinzani vinapoteza wanachama.

Watu ni waoga. Wanaogopa hata kujitambulisha kuwa wako upinzani na ktk kugombea nafasi mbalimbali mfano chaguzi za marudio za udiwani zinazoendelea.

Wameingiwa uwoga kwasabab ya matukio ya kutisha yanayofanywa na wasiojulikana nchi nzima yaliyopelekea wapinzani kupoteza maisha, kujeruhiwa na kupotea.

Hiki ndiyo kifo chenyewe cha upinzani. Mitaani huku ukitaka ugombane na MTU muite kamanda....
Na kinachowatisha zaidi wanasema kama viongozi wakuu tu wa chadema wanasota na kesi, vipi wao:walala hoi?

Wapinzani sasa wanajificha kabisa huku mtaani. Hali ni tete!

[HASHTAG]#Mtanikumbuka[/HASHTAG].
Tatizo la upinzani ni udini
 
Back
Top Bottom