Ushagooo

Where are animal rights....frankly speaking I miss supu ya kuku wa kienyejii, its been a while now!
 
swahili yako ya ushagoo ( kijijini) imenikumbusha x wangu mkenya,ushagoo wanatumia sana wakenya
 
hahahahah yani vijijini kuna raha sana dogo anacheza na kuku kama rafiki yake.....
 
Dah! Hadi udenda wanibubujika,kuku wa kienyeji umpike makange na kaugali ka lainiiii!!!
 
Jamani kuku wa singida mbona wana mapaja marefu hivyo?
 
Huyo dogo akikua lazima atauwa Mwizi wa Kuku.
 
Where are animal rights....frankly speaking I miss supu ya kuku wa kienyejii, its been a while now!
Pole, siye huku kwetu kuku wa kienyeji wametukifu, yaani kila siku inaboa kwa kweli.
 
Pole, siye huku kwetu kuku wa kienyeji wametukifu, yaani kila siku inaboa kwa kweli.

Unakaa mji gani nihamie huko. Huku kwetu wanatulangua unabaki kula sukuma wiki na perege
 
kama sikosei hii itakuwa ushagoo ya murang'a.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…