du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?
Endelea kuchekacheka tu ngoma ya mdundiko hiyooooo iko tazara inaelekea gongo la mboto mwisho wa lami.hakuna cha ushauri wala nini umechemsha sana,ulilazimishwa kuoa???be serious acha kucheza na maisha nyakati hizi za maradhi.
Hivi ndo yule ambaye kuna wembe kwenye jicho?(Simu yangu haioneshi avartar) Kama ndiye, kuna post humu kutoka kwa Mod RR ikimshauri kuibaidili. Hata mimi siipendi ile ina-disturb sana.
du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?
'no what JO, hilo ndio tatizo la kuweka mayai yooote kwenye kapu moja, u cant afford to drop the kapu! ungekuwa umewahi kuonja huku na huku wala usingesumbuka na usexy wake kwani wengi wako sexy than ur dream sexy wife