Nani huyo unayemuongelea, nachoona mimi kuna taasisi yenye mkono mrefu kuliko unavyodhani ikifanya kazi.Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,
Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,
Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.
Cc Zero IQ
Tanzania ina useless people wengi especially,ccm members and supporters wao kazi yao kubwa ni kusifu na kuabudu ujinga na upumbuvu wowote wanaokalilishwa na wajanja wachache every after 5 yearsHuwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,
Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,
Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.
Cc Zero IQ
Kila nchi hupata viongozi walio stahili yao.Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,
Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,
Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.
Cc Zero IQ
Umenena vema sanaaaKila nchi hupata viongozi walio stahili yao.
Tulikuwa na Mwl wakati ule na ndiyo ilikuwa stahili yetu.
Sasa tupo awamu ya tano. Tunae wa sasa kwa maana ndiyo stahiki yetu.
Kama tunadhani sio stahiki yetu, uamuzi u mikononi mwetu.
Madaraka yanatokana na wananchi inasema katiba yetu.
Tusuke au tunyoe.
Viongozi wa UVCCM wameanza kauli kama zile za Rwanda kabla ya genocide. Tunaelekea huko kwa speed kubwa. Bahati mbaya, si kwamba ni huko huko, bali ni ndugu zake.
Unamzungumzia Mzalendo asiyependa kukaguliwa??Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,
Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,
Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.
Cc Zero IQ
Inaonekana umeandika huu.upupu baada ya kutoka kulia sana kutokana stressNchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.
Hili tunalopitia ni somo kubwa sana. Kuwa na Rais ambae hajui historia, uchumi wala siasa. Na hataki kujifunza sababu anajiona mwerevu sana (know it all). Anataka aturudishe kwenye system za Marxism na communism ambazo zimeshafeli na popote pale zinafeli.Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,
Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,
Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.
Cc Zero IQ
Naona leo hujanywa Konyagi kabisa,unaongea point tupuTanzania ina useless people wengi especially,ccm members and supporters wao kazi yao kubwa ni kusifu na kuabudu ujinga na upumbuvu wowote wanaokalilishwa na wajanja wachache every after 5 years
Mdogo wangu Zero IQ please ishia kwenye jukwaa letu pendwa la mahusiano mapenzi na Urafiki please please usijiingize kwenye politicsHuwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,
Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,
Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.
Cc Zero IQ