Mkuu washing mashine zina size ya uwezo wa kufua nguo wameweka kwa Kg...zipo za 7kg,10kg,15kg na kuendelea unataka ya Kg ngapi au jina gani! angalia bajeti yako ipoje unaweza ukanunua used kumbe ungepata mpya tuu...

Sikushauri ununue used unaweza pata mpya kwa bei nzuri tu, sijui kama una familia au la ila mashine ya kg 7 inatosheleza kwa mtu bachelor au hata mwenye familia ndogo
Hivi wakuu hii kitu hula umeme sana au? Nafikiria kuiingiza kwangu lakini nikicheki muda utumikao kufua up to 2:40 hours (kutegemeana na nguo) napata ukakasi. Nijuzeni wapendwa.