Mkuu ulivyosikia laki 2 ukajua ni Simu. Ni Saa iyo !!Simu nzuri tatizo bei ndio sio rafiki kwangu mimi
nimekua nimeikuta mzee wangu anayo hio saa naijua sema nimekosea kutype tuMkuu ulivyosikia laki 2 ukajua ni Simu. Ni Saa iyo !!
OG inakuwa na serial number, ukiingiza kwenye Google tu lazima ijisome mkuu.Shid ni kujua hii yako ni copy au OG,maana hata huko madukani hua tunaambiwa ni OG kumbe ni copy
Laki 1 huwezi kupata SEIKO 5 Original, sana sana utauziwa feki. Ipo moja tu naiuza kwa 700,000laki 1 tufanye biashara