Allietz_ Member Joined May 12, 2015 Posts 6 Reaction score 2 Oct 14, 2015 #1 2004 Scania, 114 8x4, steel body tipper, manual, diesel, 32 ton, call 0715385418/ 0754385418
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,733 Oct 14, 2015 #2 Wow! Bado iko bomba. Ni sh ngapi unamuuza huyo 'mende'?
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,382 Reaction score 13,194 Oct 14, 2015 #3 Uuzaji wa namna hii hauna tofauti na mtu ambaye hauzi... na pia ni sawa na kuona gari barabarani ukalisimamisha na kumuuliza muendeshaji ati hilo gari linauzwa? Najuta kufungua ukurasa huu...
Uuzaji wa namna hii hauna tofauti na mtu ambaye hauzi... na pia ni sawa na kuona gari barabarani ukalisimamisha na kumuuliza muendeshaji ati hilo gari linauzwa? Najuta kufungua ukurasa huu...