Ila ni ya Vodacom?
Sasa kwa kuwa umeichakachua,ninaiblock nimeshaona details zake zote.
Badala ya kusema ya Voda,wewe unaleta ujanja wako wa kijijini Koromije!!
Ila ni ya Vodacom?
Sasa kwa kuwa umeichakachua,ninaiblock nimeshaona details zake zote.
Badala ya kusema ya Voda,wewe unaleta ujanja wako wa kijijini Koromije!!
Sasa hii ni biashara au ni uwanja wa mapambano?
Punguzeni mihemuko vijana tuchape kazi.
Mimi nilitaka ufafanuzi zaidi juu ya matumizi ya hicho kifaa, lakini nilipoona 'nzagamba mamba' zinatifuliana vumbi, imebidi nirudi nyuma.