Used Printer Zinauzwa

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
290
Reaction score
478
Habar wakuu

Tunasafisha stoo yetu
Kuna Printer 4 hizo zinauzwa
Hp zipo 2 na Lexmark ni 2.











Hizo ni Lexmark




Hizo ni Hp, zote ni model hiyo.

Tunauza zote kwa jumla 250,000/=
Zipo katika hali nzuri ila zinahitajika maboresho kidogo tu sababu zimekaa mda mrefu sana ndani zaidi ya mwaka.
Ukichukua zote tunakuongezea mbili kam spea Model hizo hizo.

Pia kuna redio Sony ina Amplifier yake nayo inahitaji maboresho kiasi. Redio ni 50,000/= tu


Tunapatikana Dar es Salaam Njia panda ya Segerea- Banana
Karibuni sana.
0686590089
0658717170
 

Attachments

  • tmp-cam-2038185457.jpg
    5.2 KB · Views: 19

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…