D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Mar 2, 2015 #1 Used furniture za maofisini zinauzwa kwa bei nzuri na bado ziko kwenye hali nzuri. Zipo Dar. Kwa mawasiliano: 0716 797 416 au 022 2771586
Used furniture za maofisini zinauzwa kwa bei nzuri na bado ziko kwenye hali nzuri. Zipo Dar. Kwa mawasiliano: 0716 797 416 au 022 2771586
Blood Hurricane JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,175 Reaction score 305 Mar 2, 2015 #2 Ok haina kwere
Ngirimaji JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 213 Reaction score 192 Mar 2, 2015 #3 Taja bei mkuu kwa kila pic watu tujue tunajipangaje au ndo unataka kubargain kwanza
D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Mar 2, 2015 Thread starter #4 viko vingi sana hizo ni sample tu
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,730 Reaction score 2,392 Mar 2, 2015 #5 bei gani kabati na meza?
D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Mar 2, 2015 Thread starter #6 kwa hizo hapo kwenye picha meza ni 250000 kwa 150000,kabati 250000
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,556 Mar 2, 2015 #7 office chair ile ya kawaida unauzaje?
D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Mar 2, 2015 Thread starter #8 Office chairs ziko mpya na used bei ni kati ya 240000 hadi 95000
Msamiati R I P Joined Mar 6, 2011 Posts 1,063 Reaction score 700 Mar 2, 2015 #9 Ofice chair ya 95 ikoje mkuu? DESMOND DAVID
D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Mar 2, 2015 Thread starter #10 Kama hzo Attachments 1425315558949.jpg 68.1 KB · Views: 223
Alure JF-Expert Member Joined Dec 27, 2014 Posts 1,100 Reaction score 1,054 Mar 2, 2015 #11 kiongozi hzo meza bado zipo au zishachukuliwa?nijibu tufanye biashara
D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Mar 3, 2015 Thread starter #12 zimebaki chache
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,618 Jun 12, 2015 #13 nimeumia sana, ofisi ndio imekufa hivyo. Kama mlikuwa mnabadilisha vitu hapo nitafurahi mkuu. DESMOND DAVID DESMOND DAVID Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nimeumia sana, ofisi ndio imekufa hivyo. Kama mlikuwa mnabadilisha vitu hapo nitafurahi mkuu. DESMOND DAVID DESMOND DAVID
D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Jun 13, 2015 Thread starter #14 ni vitu vya client wetu bado vipo baadhi
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,618 Jun 13, 2015 #15 DESMOND DAVID said: ni vitu vya client wetu bado vipo baadhi Click to expand... kashindwa kulipa deni huyo
DESMOND DAVID said: ni vitu vya client wetu bado vipo baadhi Click to expand... kashindwa kulipa deni huyo
D DESMOND DAVID Member Joined Jan 31, 2011 Posts 79 Reaction score 7 Jun 13, 2015 Thread starter #16 Ameweka vipya