Used modem inahitajika

Used modem inahitajika

Ninayo ya zantel isiyotumia line, 20,000/. Karibu
 
Unapatikana wapi ipo ya zantel hapa haitumiki

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Unataka kwa bei gani na kwa vigezo vipi? angalia unataka kuuziwa modem isiyotumia line shauri yako
 
0659-995445,0783-722831
kama upo dar ninayo ya sasatel ila haitumii laini pamoja na ya tigo na voda zote ni used modem ya tigo nipe 23000 au voda lete 28000(ni universal inatumia lain zote) sasatel nipe 15000(zipo mbili kama ukihitaji) ukiagree njoo pm au 0718-776676 ihusike poa
 
Sasatel imeshaenda kwa Muumba wake,dont buy sasatel modem pls
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom