Used Mini Laptop inauzwa

zeus47

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
233
307
Imetumika kwa mwaka mmoja.. Inahitaji tu Cable yake ya umeme. Mpya inauzwa K/koo kwa Shs. 20,000/= Haina tatizo jingine. Bei ni shs 100,000/=
db33c4d984283dbe00343e5a22e9a233.jpg
0a95effbfe0278e82eafacf5d8280326.jpg
 
Tangazo la laptop linatakiwa kuwa na details za specifications mfano RAM, processor, HDD, screen size, battery life (approx), etc on top of hizo chache ulizotoa.
 
Mkuu nitumie namba inbox ninunue nataka sana iyo kitu niitumie kesho, nina kazi nayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom