freelancer2302
Member
- May 29, 2014
- 83
- 23
Htc Desire 620 smart phone imetumika kidogo kioo chake kimecrack kidogo kwa juu pembeni, ila iko na hali nzuri. Bei maelewano. Inaanzia 150000
Kwanza anauza kitu kibovu,pia hakuna picha ya bidhaa,hakuna mawasiliano,Embu jiulize kwanini mpka sasa tangazo lako limekosa wachangiaji