Used apple laptop inauzwa

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,427
1,475
Wadau heshma kwenu.Nina MACBOOK APPLE LAPTOP nimeitumia kama miez 9 hv naiuza(haina tatzo lolote ni nzima).Specification zake ni hz
MEMORY 2GB 66MHz DDR2 SDRAM
PROCESSOR:2GHz Intel core 2 duo.Adapter yake ipo.Bei tutajadili kwa atakaehtaj anitafute kwa 0717465686 au 0717478451.asanteni
 
Kwanini bei isiwekwe hadharani? Nimalize credit yangu bure kwa kitu ambacho ningeweza kujipima kama nna uwezo wa kukinunua hapahapa?
 
haujataja ukubwa wa hard disk muhimu sana kaka na bei ni muhimu pia!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom