Use your face as your password

Use your face as your password

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,367
Tumia webcam ku login kwenye pc yako bila ku type password. kwa kutumia software hizi mbili utasahau ku type password ni mwendo wa kutenga uso tu. Utakapo install moja ya hizi software unatakiwa kutengeneza profile yako ni rahisi utaongozwa na wizard ambapo sura yako itakuwa scanned na kuhifadhiwa.

Mkajaribu hizi kitu zinafurahisha kwa watakaopenda tu.

software zenyewe ni:

KEYLEMON :
Hii ina support hadi windows 8 na pia wanatoa free version inayo support face login ila ukitaka more features itakubidi ulipie some $$$$ (angalizo mpaka sasa hamna cracked version ya keylemon ila free version yao iko poa)

LUXAND BLINK:
Hii ina support mwisho windows 7 wenye windows 8 msiguse hii haifanyi kazi na itawasumbua coz bado hawajatoa version compatible na win 8. hii wanatoa trial version ya 15 days au 30. (Cracked version inapatikana through torrents).

MAJARIBIO MEMA............

KEYLEMON
Win8+lockscreen.jpeg

LUXAND BLINK
Luxand_Blink_Pro_2.3_+_Rus.jpeg
 
Tatizo wengi hatupendi kujiangalia tunaweka watoto au wapenz wetu sa itakuaje hapo?
 
...computer za lenovo kwenye driver package yao kunaa software inaitwa veriface, hutumika kwa ajili la ku unlock pc, tatizo la hizi software hazifanyi kazi sehemu ikiwa dark, au mwanga hafifu, so i do not suggest maana mi nimeshazitumia.
 
Tatizo wengi hatupendi kujiangalia tunaweka watoto au wapenz wetu sa itakuaje hapo?

Webcam ndo itakuangalia na ku-login akija mtu mwingine haita login mpaka aingize password.
 
with a good webcam, you can get recognized in low-light conditions aswell................................................
 
...computer za lenovo kwenye driver package yao kunaa software inaitwa veriface, hutumika kwa ajili la ku unlock pc, tatizo la hizi software hazifanyi kazi sehemu ikiwa dark, au mwanga hafifu, so i do not suggest maana mi nimeshazitumia.

Hushauri nn?
Kama wewe umetumia na wengine ndo wasijaribu. Usikatishe watu tamaa wengine wanaweza wakazipenda na ni bure ulivyoandika as if wanaenda kununua yani.
 
Hushauri nn?
Kama wewe umetumia na wengine ndo wasijaribu. Usikatishe watu tamaa wengine wanaweza wakazipenda na ni bure ulivyoandika as if wanaenda kununua yani.

..h120 siyo kwamba nawakatisha tamaa maana ule ni ushauri tu kwa jinsi nilivyoona, so pple can decide to be bound with it au kuupotezea tu.
 
How it works.
It automatically take photos of you at.various angles and save them in its database. When you want to login, it detect your face and compare it with these in database.
 
...computer za lenovo kwenye driver package yao kunaa software inaitwa veriface, hutumika kwa ajili la ku unlock pc, tatizo la hizi software hazifanyi kazi sehemu ikiwa dark, au mwanga hafifu, so i do not suggest maana mi nimeshazitumia.

usishauri wasitumie ila wanapashwa kulijua hilo..
 
Ukiwa umelewa haifunguki n'go! Si unajua tena ukipata kilaji sura inavyokuwa mbaya?
 
Ikitokea umepata ajali na umeumia usoni, unafanyaje?
Manake unakuta uso un maplasta kibao.

images.jpg images.jpg
 
How it works.
It automatically take photos of you at.various angles and save them in its database. When you want to login, it detect your face and compare it with these in database.

Exactly what it does.
 
Ukiwa umelewa haifunguki n'go! Si unajua tena ukipata kilaji sura inavyokuwa mbaya?

Labda ulewe na upate vile vi ajali vyetu vya kuanguka mitaroni
 
Duh! na hili sura langu, itakubali kweli? sio itanambia "user no available?" teh! teh!

Face not recognized, make sure that your face not masked with a dead gorilla's face. hahahaha. Hiyo mimi situmii itanikatisha tamaa bure.
 
Back
Top Bottom