Jana 2 tulishuhudia Mwananchi wa kawaida aliyekuwa akidaiwa kodi ya pango na NHC akitolewa nje na nyumba kuvunjwa,leo 2naona wizara ikiwa inadaiwa 391mil. na shirika hilo wakitolewa nje vi2 vyao 2 tena pasipo usumbufu, usawa uko wp katka hili, kwann hawa nao wasivunjiwe..???
Nani alaumiwe katika hili....?????