Mawazo na hisia zako hazimfikii wala kumjalisha hâta Mmarekani mmoja -has no effect whatsoever -inconsequential-
Lakini wao wakisema demokrasia yetu mbovu,tunajiharishia
Ukweli mchungu
haa. Utaelewa vipi wakati una ugonjwa wa kipindupindu? Hebu nieleze utaielewa vipi Demokrasia ya Marekani wakati wewe humu nchini mwako ndio kwanza
... wagonjwa na wajawazito wanalala chini mahospitali!
...watoto wa shule wanakaa chini bila madawati!
...kipindu pindu kimesheheni
...maji ya kufuata maili 2 vijijini!
...umeme ndio usiseme!
...hizo dala dala ni za kupigana hadi ufike kazini basi tayari umechoka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.