Usaliti wa njia ya mtandao

I don't get "taken" people who flirt online.

I'm not a flirt anyway so maybe it's just me who doesn't get it.

No, you are absolutely right. People who is say flirting is ok are the ones who wants to justify wrong as right but deep inside they know that flirting is wrong, it always has been and always it will be.
 
No, you are absolutely right. The people who is say flirting is ok are the ones who say wants to justify wrong as right. But deep inside they know that flirting is wrong, it always has been and always it will be.
It's very disrespectful. I wouldn't be pleased at all if I learn that he does it.

It's how michepukos begin
 
Je kipindi kile ambacho kulikuwa hakuna mitandao,hao wanandoa walikuwa wana punguza misongo ya mawazo wapi?
Je kipindi kile ambacho kulikuwa hakuna mitandao,hao wanandoa walikuwa wana punguza misongo ya mawazo wapi?
Wanawake wa enzi hizo walikuwa wanakubaliana na hilo, walikuwa hawana GUBU, ila wa siku hizi tangu mtoke China mnajifanya wajuaji sana. Ndiyo maana mnaachika sana na mnamisongo ya mawazo sana.
 
Mmmhhh jaman me mke wng tunatumia JF tu maana huku hamueki picha nyingi ili kujitangazia biashara
 
Mmmh hauvumiliki honestly, tunajitoaga tu ufahamu basi . Ukimkuta partner wako anaflirt ndo utaelewa vizuri how it feels (mkuki kwa nguruwe).
Huo mkuki mchungu Heaven...

Nilikua naona sawa tu ku flirt ila jamaa aki flirt naona nongwa.
 
Hahaha umenyoooooshwa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Nitaacha kunyooka mwenzangu... Wahenga hawakukosea kusema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu Heaven

Yani mwenzio anapokwambia juu ya tabia flani unamuona kama vile ana kawivu kasiko na maana. Ila ngoja a copy hayo ufanyayo sasa teh utatamani kulia
 
Hya mambo hayawezi isha cha msingi mind your own business usimfatilie kabisa sweetheart wako..yaani wewe mwamini tu basii.
 
Sure Douta..Hizi mambo ukimkuta mwezako anafanya ni ngumu kumuelewa aisee hata kama na we huko hivyo..Kiukweli kama mtu upo kwenye serious relationship hizi mambo za flirting sio nzuri.
 
Hili nalo ni jipu linahitaji kutumbuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…