husnan jumah
Member
- Mar 13, 2013
- 5
- 0
Dah!pole sana miaka 5 ya uchumba its too much,inashauriwa kwa uchumba salama ikiwa haraka sana at least Mitzi 6 ya uchumba na isizidi miaka 2 ya uchumba,kwa jinsi mwanadamu alivyo kufanya kosa la kwanza ni vigumu lakini kurudia Kosa husika huwa ni rahisi.hivyo hilo tendo alilofanya anaweza ni rahisi kurirudia tofauti Kama angekua hajafanya hivyo,pia kwa Huyo mchumba wako anaweza kuanza uchumba na mtu mwingine kwake itakuwa rahisi kukitunza kiapo hicho kuliko kwako,pia in busara zaidi kuvunja uchumba kuliko kuvunja ndoa,fikiri kwa kina dada ktk hili wakati mwingine maamuzi magumu na yanayoumiza ndio sahihi......
Wana Jf,
Nipo na mtu wangu ambae nampenda sana na naamini na yeye ananipenda. Tupo katika mahusiano ya miaka mitano. Nimegundua sasa kuwa ana mtoto wa nje ya ndoa, habari niliyoipata wakati wa kutambulishana familia. Naomba mnisaidie mawazo ni nini cha kufanya? Niendelee naye ama ndiyo atazidi kunisaliti tukifunga ndoa?
Mawazo na ushauri wenu tafadhali.
Na mie nimeshangaa, maybe alishakujua wewe ni mtu wa kupanic, mtu kuwa na mtoto sio dhambi, as long as alimpata wakati hayupo na wewe, hilo jambo dogo sana binti mwenzanguMtoto nje ya ndoa ya nani? Ina maana wewe unataka kuwa mke wa pili au? Sa kama utakuwa mke wa pili unaogopaje usaliti!?