GPTZ
Member
- Sep 27, 2015
- 84
- 24
Kutona na hali ilivyo ya watu kuvamiwa vamiwa ovyo na kuporwa nawengine kuuwawa,imebidi nijifanye mwana nchi mzalendo asiye nakazi yakufanya nifanye tafiti makini kuhusu ili eneo hili Mliman city:
Mliman City ni eneo bomba sana la watu wote kuingia na kufanya manunuzi (shopping )
Kuna maeneo ya kupa vinywaji na misosi kama marrybroun, samaki samaki, Kfc e.t.c.Pia kuna Huduma zakibank zinatolwa kwenye bank husika.Kuna supermarket na maduka mbalimbali.
Eneo hili kwa masaa manne wanaingia watu elfu 2150
Linaupana wa kupaki magari wakutosha kwakweli.
UTAFITI
Pamoja na wingi wawatu kuingia pale MC wanunuzi ni wachache.
Wengi wao huenda pale kuosha nyota au kuuza sura nakupiga story picha n.k.
Mageiti yote matatu hakuna ukaguzi wowote unaofanyika tofauti na mtu kubonyeza batani kirisit kikatoka basi.
Ingia na mizinga, mabomu hakuna ukaguzi wowote ule