Usalama wa taifa: wasira anajichanganya

Usalama wa taifa: wasira anajichanganya

Joined
Feb 13, 2013
Posts
98
Reaction score
15
Anasema eti wakati wa ukolön wamefanya kazi nzuri ila suala la utekaji anajichanganya. Et usala umemuokoa mbowe. Hajajibu hoja
 
Hawa majamaa viazi sana! Hivi usalama wa taifa kama upo tungeona kushamiri kwa ufisadi nchin?? tungeona kushamiri wa mateja na wauza unga??? Tungeona vitendo vya ajabu vya polisi na wizi unaoikumba nchi yetu??

Au huo usalama kazi yake ni kusimamia tu viongoz wa kitaifa wanaotembelea nchini mwetu?? au kazi yake ni kuzunguka na rais wakati wa ziara??? Mbona wana obviate facts na kujikita kwenye masuala ya kipumbavu na kihistoria??? Usalama wa taifa wakati wa mwalimu Nyerere sio usalama huu tunaoushuhudia sasa hiv.

Suala la kukamatwa kwa Ramadhan mteka Ulimboka wooooote wanajifanya kama hawajasikia yakisemwa na kambi ya Upinzani. Hawa majamaa ni viazi sana, wanadhan wananchi hatujui tunataka nini.
 
Kumbe Tanzania kuna usalama wa Taifa!!Sikujua hilo
 
Mleta mada edit maelezo yako umejichanganya mno..
 
Back
Top Bottom