Usalama umezingatiwa

Toka ulipo amka naona unapost vitu vinavyoifanya siku yangu nitabasamu tu kama si kufuahi na weekend hii sipotei ila msiniulize kwa nini
 
Toka ulipo amka naona unapost vitu vinavyoifanya siku yangu nitabasamu tu kama si kufuahi na weekend hii sipotei ila msiniulize kwa nini

Hahahahaaaa hebu fanya tuonane basi na wadau wengine ambao Leo hawatafichwa
 
Shkamoo mshana jr,wife ananiambiaga nimekua chizi kucheka mwenywe
 
Last edited by a moderator:
Usalama muhimu tena asipovalishwa helmet huyo mbuzi akipata ajali soup haitakua tamu
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaa,kuumiza asubuhi namna hii si vyema hata kidogo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…