Kwa kuwa kitengo cha polisi cha usalama barabarani ni nyeti sana kama vile Magereza, ili kukiimarisha zaidi, iko haja ya kuwa na chuo cha askari wa usalama barabarani kama vile ilivyo kwa askari Magereza. Hii itawezesha askari wetu wa usalama barabarani kuwa na maarifa mapana zaidi ya kutusaidia raia hali itakayopunguza kabisa ajali na makosa yasiyo makosa barabarani