Kuhusu aziza bado kuna sintofahamu inaonekana kataja dau kubwa na boss yupo njia panda kujitia kwenye kitanzi
Maana kila akifikiria kupiga chini huo usajili anakumbuka tayari kuna mashabiki wanaamini Aziza kashatia wino anasuburiwa kutangazwa tu.
Kusambaza picha zinazomuonesha akiwa mezani wanaandikishana na huyo mcgezaji lilikuwa ni kosa alofanya mwanzoni kwa lengo la ku catch attention za mashabiki.
Sasa yuko katika wakati mgumu anafikiria aki terminate huu mchongo atawaeleza nini wananchi wakamuelewa?