M Mzee salum Member Joined Dec 21, 2019 Posts 6 Reaction score 0 Dec 24, 2019 #1 Habari ndungu zangu, Naomba mnisaidie nina laini zangu za uwakala lakini sio kwa jina langu, je inawezekana nikapiga fingerprint na kuepuka kufungiwa? Naombeni msaada wenu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndungu zangu, Naomba mnisaidie nina laini zangu za uwakala lakini sio kwa jina langu, je inawezekana nikapiga fingerprint na kuepuka kufungiwa? Naombeni msaada wenu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,041 Reaction score 13,380 Dec 24, 2019 #2 Nenda tigo Sent using Jamii Forums mobile app
M Mzee salum Member Joined Dec 21, 2019 Posts 6 Reaction score 0 Dec 24, 2019 Thread starter #3 Kwa Airtel money wanasema kunafoleni kubwa kisha kuna skuu za crismas hivyo ukichelewa lain zitafungiwa Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Airtel money wanasema kunafoleni kubwa kisha kuna skuu za crismas hivyo ukichelewa lain zitafungiwa Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Masindi Member Joined Aug 17, 2019 Posts 51 Reaction score 47 Dec 24, 2019 #4 Hakuna line itakayofungwa. Sent using Jamii Forums mobile app
minji JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 2,750 Reaction score 4,967 Dec 24, 2019 #5 Inawezekana kuna wengine wanabadirisha usajili kwa jina lako na kisha unakamilisha usajiri
S SAW_111 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2017 Posts 210 Reaction score 249 Dec 24, 2019 #6 Mkuu kamilisha tu Haina shida Sent using Jamii Forums mobile app
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,481 Reaction score 167,330 Dec 24, 2019 #7 Laini za uwakala hazifungwi Mzee salum said: Habari ndungu zangu, Naomba mnisaidie nina laini zangu za uwakala lakini sio kwa jina langu, je inawezekana nikapiga fingerprint na kuepuka kufungiwa? Naombeni msaada wenu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Laini za uwakala hazifungwi Mzee salum said: Habari ndungu zangu, Naomba mnisaidie nina laini zangu za uwakala lakini sio kwa jina langu, je inawezekana nikapiga fingerprint na kuepuka kufungiwa? Naombeni msaada wenu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,861 Reaction score 8,524 Dec 24, 2019 #8 inategemea mtandao gani...airtel na tigo wanakamilisha..ila voda hadi ufanye swap
Tukundane JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 12,232 Reaction score 9,554 Dec 24, 2019 #9 Majina yaliopo kwenye kitambulisho chako cha nida ndio yatakayosajiliwa, yale yaliokuwepo mwanzoni yatajifuta yenyewe wakati wa kusajili na kuingia ya kwako ambayo yako kwenye kitambulisho cha nida kwa kuwa ndio yanayotambulika hivi sasa.
Majina yaliopo kwenye kitambulisho chako cha nida ndio yatakayosajiliwa, yale yaliokuwepo mwanzoni yatajifuta yenyewe wakati wa kusajili na kuingia ya kwako ambayo yako kwenye kitambulisho cha nida kwa kuwa ndio yanayotambulika hivi sasa.