Ni wazo zuri pia jitafuteni mfikie kuanzia watano na muandae katiba yenu na mtaanzia serikali za mtaa kujitambulisha, mtenda ofisi ya kata na katiba yenu mtaonana na afisa maendeleo ya jamii atawapa muongozo wa kusajili katiba yenu na mtafika mpaka WizaraniNataka kusajili NGO
Mbona hujaandika bei ?Unachopaswa kutambua hizi zinapigwa vita endapo shughuli zenu hazitojihusisha na shughuli za kukuza biashara na uwekezaji. Na ilishauliwa kama unahitaji kufanya aina hiyo ya Kampuni ni heri usajili NG'O
Naja pm mkuuBRELA gharama inategemeana na wewe unahitaji kuanza na share capital kiasi gani
Gharama zetu kuandaa documents na kusainisha kwa Mwanasheria mpaka usajili wako kukamilika ni Tshs 250,000
KaribuAsante kwa taarifa...!
Mimi ni Mfanyabiashara mdogo nauza reja reja je kusajiri company Business au business name itanisaidia nini kwenye kukuza Biashara yanguJe wajua ukisajili biashara yako itaongeza thamani kwa wateja wako na kuvutia makampuni mengine kufanya kazi na biashara yako?
Sajili sasa biashara yako kuwa Kampuni hili uweze kufanyakazi zaidi ya nne kama ilivyo kwa kusajili jina tu la Biashara, kama unahitaji kufanya usajili bado haujachelewa, unachohitajika kuwa nacho ni;
1. TIN na namba ya kitambulisho cha taifa
2. Jina unalohitaji kusajili
3. Mahali biashara itakapokuwepo na itakuwa sehemu gani maarufu
4. Mahali unapoishi na unapakana na sehemu gani maarufu
5. Shughuli kuu utakazozifanya
6. P.O.Box utakayoitumia na sio lazima iwe yako hata ya jirani yako
N.B
Kwa usajili wa Kampuni wamiliki wanaanzia wawili hivyo wote mtahitajika muwe na taarifa za hapo juu
Kea usajili wa Kampuni, gharama inategemea na share capital ya Kampuni unayohitaji kuanza nayo na sio lazima uwe nayo cash. Kwa share capital kuanzia Tshs 20,000 mpaka Tshs 1,000,000 gharama ya BRELA utalipia Tshs 167,200
Lakini hili kukamilisha usajili huu lazima uwe na Memorandum and Articles of Association, hivyo ukihitaji kufanyiwa usajili huu gharama yetu ni Tshs 250,000 hii ni pamoja na kuandaliwa Memart na kufanikishiwa usajili wako na kupatiwa nakala zote za usajili wako utakapokamilika.
Mawasiliano ya haraka unaweza kutumia 0718887102/0755440118/0713659828
Karibuni sana
Duh natamani Kama Ungefafanua vizuri zaidiKila kitu kinafanyika kwa malengo na kukuza biashara yako ni mipango unayopanga kabla ya kuanza biashara yako. Na katika biashara usijiite wewe ni mdogo kikubwa ni kupambana kuikuza biashara yako na kuikuza biashara yako lazima uwe tayari kushirikiana na wafanyabiashara ambao unaona wakubwa, taasisi za fedha na mashirika mengine. Sasa hili ufanikishe hilo itapendeza biashara yako iwe inaendeshwa kisheria kwa kusajiliwa sasa kusajili jina la biashara tu au Kampuni inategemeana na malengo yako uliyojipangia kwa baadae na malengo ya baadae uanza sasa. Ukiwa Kampuni kodi inakatwa kulingana na faida unayoipata kwenye biashara yako kwa kulipia 30% ya faida yako lakini ukifanya biashara kwa kusajili jina tu la biashara kodi ukatwa kulinga na mapato yako na sio faida.
Karibu sana
Mimi naomba elimu ya nini kampuni na ni shughuli gani ambazo zinaweza leta neno kampuni?