M makini12 New Member Joined Dec 23, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Dec 25, 2015 #1 Habari wakuu.. Kuna mtu atakuwa anafununu au taarifa zozote kuhusu lini jeshi la zimamoto watatoa majina kwa ajili ya usaili ya watu wa uraiani.? Nawasilisha..
Habari wakuu.. Kuna mtu atakuwa anafununu au taarifa zozote kuhusu lini jeshi la zimamoto watatoa majina kwa ajili ya usaili ya watu wa uraiani.? Nawasilisha..
Kel-dizo JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 423 Reaction score 168 Dec 25, 2015 #2 Bado hakuna fununu! Hata mimi niko miongoni mwa wanaosubilia hayo majina yatakayopitishwa kwa ajili ya usaili
Bado hakuna fununu! Hata mimi niko miongoni mwa wanaosubilia hayo majina yatakayopitishwa kwa ajili ya usaili
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,983 Reaction score 11,794 Dec 26, 2015 #3 Muwe mnasubiri majina yakitoka mtajua tu.
mkwepu jr JF-Expert Member Joined Apr 20, 2014 Posts 558 Reaction score 1,028 Dec 26, 2015 #4 Wanachukuwa jkt hao jamaa
P Patriknkola New Member Joined Aug 19, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Jan 1, 2016 #5 Jamani zimamoto usaili vp kutoka uraiani
P Patriknkola New Member Joined Aug 19, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Jan 1, 2016 #6 Mwenye taarifa ya usaili atupatie jamani
P Patriknkola New Member Joined Aug 19, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Jan 1, 2016 #7 Kwa mawasiliano namba hii 0655163317
karimu mtila mohamedi Member Joined Jan 4, 2016 Posts 42 Reaction score 10 Apr 8, 2016 #9 yousaw said: january Click to expand... ZIMAMOTO WAMETOA MAJINA YA USAILI KWA WALE WLIOOMBA NAFASI MWAKA JANA,MAJINA WAMEWEKAKWENYE GAZETI LA UHURU LA IUJUMAA /LEO TR 08/09/2016
yousaw said: january Click to expand... ZIMAMOTO WAMETOA MAJINA YA USAILI KWA WALE WLIOOMBA NAFASI MWAKA JANA,MAJINA WAMEWEKAKWENYE GAZETI LA UHURU LA IUJUMAA /LEO TR 08/09/2016
shizo mkax Senior Member Joined Feb 5, 2015 Posts 190 Reaction score 39 Apr 9, 2016 #10 karimu mtila mohamedi said: ZIMAMOTO WAMETOA MAJINA YA USAILI KWA WALE WLIOOMBA NAFASI MWAKA JANA,MAJINA WAMEWEKAKWENYE GAZETI LA UHURU LA IUJUMAA /LEO TR 08/09/2016 Click to expand... Kaka unaweza kutuwekea copy hapa plz
karimu mtila mohamedi said: ZIMAMOTO WAMETOA MAJINA YA USAILI KWA WALE WLIOOMBA NAFASI MWAKA JANA,MAJINA WAMEWEKAKWENYE GAZETI LA UHURU LA IUJUMAA /LEO TR 08/09/2016 Click to expand... Kaka unaweza kutuwekea copy hapa plz
karimu mtila mohamedi Member Joined Jan 4, 2016 Posts 42 Reaction score 10 Apr 9, 2016 #11 shizo mkax said: Kaka unaweza kutuwekea copy hapa plz Click to expand... Ni hard copy so kamaunataka kucheki jina weka jina lakohapa au nichek 0658303252 nitakuangalizia
shizo mkax said: Kaka unaweza kutuwekea copy hapa plz Click to expand... Ni hard copy so kamaunataka kucheki jina weka jina lakohapa au nichek 0658303252 nitakuangalizia
karimu mtila mohamedi Member Joined Jan 4, 2016 Posts 42 Reaction score 10 Apr 10, 2016 #12 karimu mtila mohamedi said: Ni hard copy so kamaunataka kucheki jina weka jina lakohapa au nichek 0658303252 nitakuangalizia Click to expand... Taaifa mpya nikwamba zimamotowametangaza kufuta lile zoezi la usaili,zaidi ingia kwenye hii link JESHI LA ZIMAMOTO LIMEFUTA ZOEZI LA USAILI LILILOPANGWA KUFANYIKA TAREHE 20/04/2016 | MTILAH BLOG
karimu mtila mohamedi said: Ni hard copy so kamaunataka kucheki jina weka jina lakohapa au nichek 0658303252 nitakuangalizia Click to expand... Taaifa mpya nikwamba zimamotowametangaza kufuta lile zoezi la usaili,zaidi ingia kwenye hii link JESHI LA ZIMAMOTO LIMEFUTA ZOEZI LA USAILI LILILOPANGWA KUFANYIKA TAREHE 20/04/2016 | MTILAH BLOG
shizo mkax Senior Member Joined Feb 5, 2015 Posts 190 Reaction score 39 Apr 11, 2016 #13 karimu mtila mohamedi said: Taaifa mpya nikwamba zimamotowametangaza kufuta lile zoezi la usaili,zaidi ingia kwenye hii link JESHI LA ZIMAMOTO LIMEFUTA ZOEZI LA USAILI LILILOPANGWA KUFANYIKA TAREHE 20/04/2016 | MTILAH BLOG Click to expand... Kwa hiyo hii inamaanisha ndio basi tena imepita hiyo au watatangaza tena?
karimu mtila mohamedi said: Taaifa mpya nikwamba zimamotowametangaza kufuta lile zoezi la usaili,zaidi ingia kwenye hii link JESHI LA ZIMAMOTO LIMEFUTA ZOEZI LA USAILI LILILOPANGWA KUFANYIKA TAREHE 20/04/2016 | MTILAH BLOG Click to expand... Kwa hiyo hii inamaanisha ndio basi tena imepita hiyo au watatangaza tena?
Prince M Mwakyusa JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 374 Reaction score 185 Apr 11, 2016 #14 samahaniii jamani naomba kuuliza hivii zima moto huwa wanapatia wapi mafunzo ya kijeshi? (depo)
Jerry santonga JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 647 Reaction score 565 Apr 12, 2016 #15 WAMESITISHA USAHILI ULIKUWA UFANYIKE 20/4/2016NA PIA HAWAJATOA TAARIFA YA NINI KINAENDELEA