Usaili yetu micro bank

Usaili yetu micro bank

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
956
wadau vipi, hawa jamaa walitangaza ajira za credit officers na maasistant wao je washaita kwenye usaili hebu tujuzane japo kwa uchache
 
Walivyotangaza mbona hukushare hizo post
bora umetusaidia kumjibu... wengine hawapati kazi kwaajili ya roho mbaya, kazi zinatangazwa wanaomba kmya kmya..... wakiona hawajaitwa ndio wanakuja jamvini kuuliza....😏
 
bora umetusaidia kumjibu... wengine hawapati kazi kwaajili ya roho mbaya, kazi zinatangazwa wanaomba kmya kmya..... wakiona hawajaitwa ndio wanakuja jamvini kuuliza....😏
roho mbaya badala ya kuunga mkono juhudi we unaunga majungu
 
Yani umepata Tangazo alafu Ukakaa nao kimya then unakuja kuuliza huku..

Nenda kaulize kule ulipoona Tangazo..
Maaalun

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom