Usaili Wizara ya Afya

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,824
2,381
Wale vijana walio omba ajira zile 192 za matabibu wasaidizi na Wauguzi, pitieni tovuti ya Wizara ya Afya. Majina yapo tayari na tarehe za usaili pia
 
Nimejaribu kuangalia idadi ya waliotakiwa ni kubwa kuliko walioomba ,hebu nielewesheni hapo
 
Mkuu ndo maana ya usaili ili wachujwe hadi wabakie wanaohitajika
Kuna kutokuelewana hapa. Jamaa anasema mfano walitakiwa 70 lakini waliomba ni 50?

Ingawa naona kuna 40+64+65 = 169 hivi, sasa sijui walitakiwa wangapi
 
Habarini watuu,kuna muda ulikuwepo uzi hapa ukitoa taarifa kuwa majina kwa zile ajira 192 yametoka, na kukawekwa link ambayo nazani ni ya matabibu wasaidizi tuu,kwa mwenye link ya wauguzi pia naomba atuwekee.
Asanteni
 
Attachments

  • MATABIBU+WASAIDIZI+Sheet1.pdf
    58 KB · Views: 213
Habarini watuu,kuna muda ulikuwepo uzi hapa ukitoa taarifa kuwa majina kwa zile ajira 192 yametoka, na kukawekwa link ambayo nazani ni ya matabibu wasaidizi tuu,kwa mwenye link ya wauguzi pia naomba atuwekee.
Asanteni
Hiyo hapo
 
Attachments

  • Tahadhari+ya+usaili-1.pdf
    418.7 KB · Views: 135
Wale vijana walio omba ajira zile 192 za matabibu wasaidizi na Wauguzi, pitieni tovuti ya Wizara ya Afya. Majina yapo tayari na tarehe za usaili pia
Huu usaili unafanyika wapi mkuu Maana nmeona majina tuu,Hafu majina ya wauguzi walioomba sijayaona haya ni watabibu wasaidizi tuu,naomba msaada juu ya hoja hizo mbili
 
Pitia website kuna attachment tatu. Usaili unafanyika Dar es Salaam siku tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom