Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 441
- 565
Habarini
Jamaa yangu alienda kufanya interview chuo cha mbeya (MUST)kwa nafasi ya tutorial assist wa electrical
Usaili huu ulikuwa umegubikwa na mambo mengi ya kufikirisha
Jambo la kwanza matokeo ya mtihani hayajatoka kwa watu wote yametoka kwa waliopass tu. Jambo hili sijawahi kuona kwa kweli
Pili matokeo hayapostiwa kwenye website ya utumishi
Kwa wenye uzoefu wa hizi interview aniweke wazi hapa ndio ilivyo taratibu zao au kuna watu wao waliwapanga tayari?