Naweza kusema hivyo au sometimes 49 utumishi kwa 51 taasisi wanafanya majumuisho pamojaAah okay sawa. Ila still maamuzi yanakua 50/50 juu ya nani achukuliwe au nani aachwe right?
Kuhusu Nani achukuliwe huwa Ni uamuzi wa wazi kulingana na marks ulizopata kwenye oral,kumbuka kwenye oral interview kila swali uliloulizwa Lina marks husika! Mwisho wanajumlisha! Na kuhusu wanaouliza maswali Ni wataalamu kitoka taasisi husika au wanaweza kuoutsource kutoka taasisi nyingine yoyote ya umma,mfano Kama interview inahusi it bsi wanaweza kuwepo watu kutoka taasisi yenyewe wa it na Kama itaonekana inabidi anaweza akachukuliwa mtaalami hata kutoka Ega au popote pale kwenye taaisis ya umma mwenye expertise husika,Aah okay sawa. Ila still maamuzi yanakua 50/50 juu ya nani achukuliwe au nani aachwe right?
Kuhusu Nani achukuliwe huwa Ni uamuzi wa wazi kulingana na marks ulizopata kwenye oral,kumbuka kwenye oral interview kila swali uliloulizwa Lina marks husika! Mwisho wanajumlisha! Na kuhusu wanaouliza maswali Ni wataalamu kitoka taasisi husika au wanaweza kuoutsource kutoka taasisi nyingine yoyote ya umma,mfano Kama interview inahusi it bsi wanaweza kuwepo watu kutoka taasisi yenyewe wa it na Kama itaonekana inabidi anaweza akachukuliwa mtaalami hata kutoka Ega au popote pale kwenye taaisis ya umma mwenye expertise husika,
Na sio taasisi wala utumishi wanaothibitisha selection ya waajiriwa ni bodi yenye mamlaka hayo wao wanapelekewa matokeo yote wanaangalia vigezo vyote vilivyowekwa kwa ajili ya ajira na hapo wanathibitisha au kukataa mapendekezo ya interviews zote mbili written na oral. Hivyo udhibiti wa upendeleoni mkubwa sana. Pengine nikufahamishe bodi isiporidhika na saili zote inafuta mapendekezo yote zoezi linaanza upya ingawa haijawahi kutokea lakini imefuta mara nyingi mapendekezo ambayo yanaonyesha kutozingatia matakwa ya mwongozo wa ajira kama ulivyo kwenye Kanuni. Hivyo wasailiwa msitie shaka kuhusu Sekretarieti ya Ajirainafanya kazi kwa umakini mkubwa na usawa pia hata pale shinikizo la Taasisi husika hawa ndugu hawaangalii matokeo na bodi ndio wa mwisho.Kuhusu Nani achukuliwe huwa Ni uamuzi wa wazi kulingana na marks ulizopata kwenye oral,kumbuka kwenye oral interview kila swali uliloulizwa Lina marks husika! Mwisho wanajumlisha! Na kuhusu wanaouliza maswali Ni wataalamu kitoka taasisi husika au wanaweza kuoutsource kutoka taasisi nyingine yoyote ya umma,mfano Kama interview inahusi it bsi wanaweza kuwepo watu kutoka taasisi yenyewe wa it na Kama itaonekana inabidi anaweza akachukuliwa mtaalami hata kutoka Ega au popote pale kwenye taaisis ya umma mwenye expertise husika,
Umeitoa wapi hii,bodi ya taaaisi haithibitishi Wala kuridhia michakato ya ajira sababu mwenye mamlaka kisheria Cha kusimamia michakato ya ajira Ni Secretariat ya ajira,mradi taasisi imepeleka mahitaji yake kwenye Secretariat na michakto ilifuata procedure sahihi za ndani ikiwepo kupatiwa kibali Cha kuajiri na ofisi ya rais bodi haiwez kukataa watu wanaopelekewa na secretariet,Na sio taasisi wala utumishi wanaothibitisha selection ya waajiriwa ni bodi yenye mamlaka hayo wao wanapelekewa matokeo yote wanaangalia vigezo vyote vilivyowekwa kwa ajili ya ajira na hapo wanathibitisha au kukataa mapendekezo ya interviews zote mbili written na oral. Hivyo udhibiti wa upendeleoni mkubwa sana. Pengine nikufahamishe bodi isiporidhika na saili zote inafuta mapendekezo yote zoezi linaanza upya ingawa haijawahi kutokea lakini imefuta mara nyingi mapendekezo ambayo yanaonyesha kutozingatia matakwa ya mwongozo wa ajira kama ulivyo kwenye Kanuni. Hivyo wasailiwa msitie shaka kuhusu Sekretarieti ya Ajirainafanya kazi kwa umakini mkubwa na usawa pia hata pale shinikizo la Taasisi husika hawa ndugu hawaangalii matokeo na bodi ndio wa mwisho.
Sio bodi ya Taasisi inayohitaji watumishi namaanisha Bodi ya Sekretarieti ya Ajira. Wako wajumbe ambao ndio final kukubali hao wasailiwa waajiriwe au wasiajiriwe.Umeitoa wapi hii,bodi ya taaaisi haithibitishi Wala kuridhia michakato ya ajira sababu mwenye mamlaka kisheria Cha kusimamia michakato ya ajira Ni Secretariat ya ajira,mradi taasisi imepeleka mahitaji yake kwenye Secretariat na michakto ilifuata procedure sahihi za ndani ikiwepo kupatiwa kibali Cha kuajiri na ofisi ya rais bodi haiwez kukataa watu wanaopelekewa na secretariet,