Ukiangalia majina ya usaili ya utumishi yaliyotoka tar 22 mwezi huu na tangazo la ajira la mwezi JUne utagundua kuna Kada zingine hazipo na watu wengi tumeshtushwa na kutoona kada fulani tulizoziomba.Jana nimepiga simu Utumishi kwa namba hii 0784398259.NIMEJIBIWA KUWA KUNA KADA AMBAZO BADO HAZIJATOKA, WAPO WANAZIFANYIA KAZI NA TUWE NA SUBIRA SIO MUDA WATATOA MAJINA MENGINE YA USAILI KWA KADA HIZO