Hivi kweli maswali ya paper ya written yanatosha kua ni kigezo cha kuchuja waombaji .
Ma auditor wanaofanya statutory audits and other engagement,wanapewa maswali ya economics na statistics.wangesema basi kwenye tangazo tunataka watu wa economics.
Tunajua wanahitaji watu wa economics ,civil ,arht na fani zingine na ndio maana walitoa tangazo jingine .
Vipi jumamosi tarehe 11/10/2014 katika interview auditors wameshindwa kutofautisha maswali ?
Na kama walichanganya na wale za post zingine mbona maswali ya civil hatukuyaona.
Cha ajabu katika maswali ya mtihani ule utaona watu wamepata 99% ,88% distinctions ha ha haaaaaaa.
Hao waliopata marks hizo chuoni walikua na pass katika degree zao.
Wakati katika interview ile kuna watu wa cpa,first class,upper second.hawa utasikia hawakufaulu mtihani.
Napatwa na wasiwasi ninapo ona tangazo katika page za utumishi likisema ,''inaibidi watahiniwa wajiandae wakienda katika usaili''
sasa wajiandae nini? Wakati maswali yanatoka nje ya post waliyosomea.
Cha ajabu masaa machache kabla ya usaili wa written unakutana na mtu anasolve maswali ,ambayo ukiingia ndani ni yale yale.
Kwa maswali yale ya dakika 50.maswali matano .mtu anaesailiwa anafanya kazi compliancely / guided by laws and regulation sidhani kama ni stahiki.
ushauri
utumishi kitengo cha kutunga maswali ya usaili -written bado sana ,ni shiiiiiidah inabidi mujipange
tafuteni msaada katika utungaji.
pongezi
kiukweli kusimamia zoezi la usaili mpo vizuri .
wasiwasi
inakuaje maswali yanapatikana kabla ya mtihani?
changamoto
nao ikiwa ni sehemu ya kitengo cha serikali kinachopewa huduma na utumishi katika mchakato mzima wa usaili,ije na ripoti ya mchakato wa recruitment unaofanywa na tume ya utumishi.