Ma mpishi Member Joined Jan 23, 2022 Posts 16 Reaction score 19 Feb 5, 2022 #1 Habarini za asubuh, alofika Leo hapa udom kwajili ya usaili Wa kada ya technician II signal and telecommunication tujuane
Habarini za asubuh, alofika Leo hapa udom kwajili ya usaili Wa kada ya technician II signal and telecommunication tujuane
Ma mpishi Member Joined Jan 23, 2022 Posts 16 Reaction score 19 Feb 5, 2022 Thread starter #3 Wadeploy said: Ni tarehe 8 mjumbe Click to expand... Ndo tumeambiwa hapa, utatukuta
Wadeploy Member Joined Oct 11, 2018 Posts 9 Reaction score 11 Feb 5, 2022 #4 Poa poa me nilimtumaga kjana aniulizie mapema
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,206 Feb 6, 2022 #5 Kila la heri Haya matangazo ya ajira mnapataga wapi mpka mna aaply mnaitwa Mbona kimya kimya sana tunaskia tu kuitwa kwenye usaili
Kila la heri Haya matangazo ya ajira mnapataga wapi mpka mna aaply mnaitwa Mbona kimya kimya sana tunaskia tu kuitwa kwenye usaili
6 64-bit JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 298 Reaction score 147 Feb 6, 2022 #6 Kunguru wa Manzese said: Kila la heri Haya matangazo ya ajira mnapataga wapi mpka mna aaply mnaitwa Mbona kimya kimya sana tunaskia tu kuitwa kwenye usaili Click to expand... Jiunge ajira portal wewe
Kunguru wa Manzese said: Kila la heri Haya matangazo ya ajira mnapataga wapi mpka mna aaply mnaitwa Mbona kimya kimya sana tunaskia tu kuitwa kwenye usaili Click to expand... Jiunge ajira portal wewe
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,206 Feb 6, 2022 #7 64-bit said: Jiunge ajira portal wewe Click to expand... Daah kumbe ngoja nifanye hivyo
M Muamu3 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,706 Reaction score 4,544 Feb 6, 2022 #8 TRC matokeo lini waliofanya paper trh 5
Talha JF-Expert Member Joined Nov 11, 2021 Posts 202 Reaction score 224 Feb 6, 2022 #9 Top leader said: TRC matokeo lini waliofanya paper trh 5 Click to expand... Kada za ICT, Artisan,Civil tayari bila Shaka leo wataapload za kada nyingine
Top leader said: TRC matokeo lini waliofanya paper trh 5 Click to expand... Kada za ICT, Artisan,Civil tayari bila Shaka leo wataapload za kada nyingine
M Muamu3 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,706 Reaction score 4,544 Feb 6, 2022 #10 S My3 said: Kada za ICT, Artisan,Civil tayari bila Shaka leo wataapload za kada nyingine Click to expand... Wa sawa hapo ni Transport officer
S My3 said: Kada za ICT, Artisan,Civil tayari bila Shaka leo wataapload za kada nyingine Click to expand... Wa sawa hapo ni Transport officer
Mr njaa Senior Member Joined Feb 3, 2022 Posts 166 Reaction score 126 Feb 6, 2022 #11 Ma mpishi said: Habarini za asubuh, alofika Leo hapa udom kwajili ya usaili Wa kada ya technician II signal and telecommunication tujuane Click to expand... Pepar ilikuaje tupeane uzoefu
Ma mpishi said: Habarini za asubuh, alofika Leo hapa udom kwajili ya usaili Wa kada ya technician II signal and telecommunication tujuane Click to expand... Pepar ilikuaje tupeane uzoefu
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Feb 6, 2022 #12 Kunguru wa Manzese said: Kila la heri Haya matangazo ya ajira mnapataga wapi mpka mna aaply mnaitwa Mbona kimya kimya sana tunaskia tu kuitwa kwenye usaili Click to expand... Ingia www.ajira.go.tz kuangalia matangazo mbalimbali ya ajira kisha nenda portal.ajira.go.tz ili utengeneze profile na kuanza application
Kunguru wa Manzese said: Kila la heri Haya matangazo ya ajira mnapataga wapi mpka mna aaply mnaitwa Mbona kimya kimya sana tunaskia tu kuitwa kwenye usaili Click to expand... Ingia www.ajira.go.tz kuangalia matangazo mbalimbali ya ajira kisha nenda portal.ajira.go.tz ili utengeneze profile na kuanza application
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,202 Reaction score 6,781 Feb 6, 2022 #13 Kunguru wa Manzese said: Kila la heri Haya matangazo ya ajira mnapataga wapi mpka mna aaply mnaitwa Mbona kimya kimya sana tunaskia tu kuitwa kwenye usaili Click to expand... Uwe unatembelea site zote zinazotangaza Ajira mkuu
Kunguru wa Manzese said: Kila la heri Haya matangazo ya ajira mnapataga wapi mpka mna aaply mnaitwa Mbona kimya kimya sana tunaskia tu kuitwa kwenye usaili Click to expand... Uwe unatembelea site zote zinazotangaza Ajira mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,102 Reaction score 184,847 Feb 6, 2022 #14 Natumae mlipeana miongozo...