Usaili udom vipi?

Usaili udom vipi?

Nilufer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
9,760
Reaction score
14,005
jaman wana jamvi naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu oral interview ya udom wameshaitwa kwa wale tuliofanya written interview tarehe 17/11?
 
tuvute subri kaka.!!!
mana nasikia hata wale waliofanya oral interview tokea mwezi wa kumi kwenye tarehe 31. na november 1 na 2.
tuendeleee kuvuta subra....
 
Bora hata una matumaini ya kuitwa oral, binafsi sina imani hata kidogo na UDOM mmmh, bado sijajua walikuwa wanapima kitu gani kwenye ule mtihani wa kuandika?
 
tuambiane pole ndugu yangu UDOM , kumbe wale wafanyakazi wa utawala tayari walisha waweka ndugu zao kwa ajili ya oral interview post ya assistant accountant na internal auditor.mimi na wewe tumepoteza nauli tu.kuwa na matumaini pia ikiwa wewe ni mpale au muhaya.
 
Usiseme hivyo mkuu kuwa na matumaini usisikilize maneno ya watu utakuwa unakata tamaa na kupoteza matumaini sana wala huna haja ya kuwa Mhaya au mpare ndo upate hizo kazi usiangalie hivyo vigezo pls we omba Mungu kama ipo ipo tu, ya Mungu Mengi bwana huwezi jua!
 
kuna mwana JF mmoja alipost taarifa za kuitwa kwenye oral udom akaattach na document yenye majina bt kesho yake akaitoa, UDOM kuna urasimu mwingi bt 2endelee kuamin kama ipo ipo 2! Mi toka nimalize chuo nshaomba kaz kama 10000 zingine waitwa interview zingine hauitw bt i wont give up! I know 2moro gonna b a better day
 
wadau udom wameita watu kusailiwa ni wa skuli of humanities angalieni kwenye web yao.
naombeni mnijulishe kama political science ni part of skuli of humanities wakuu
 
wadau udom wameita watu kusailiwa ni wa skuli of humanities angalieni kwenye web yao.
naombeni mnijulishe kama political science ni part of skuli of humanities wakuu

Walioitwa ni TAs na assistant lecturers, Political science ni social science mdau
 
asante mkuu, nilikua sielewi hicho kitu si unajua arrangement za schools and colleges zinatofautiana toka chuo kimoja hadi kingine

Walioitwa ni TAs na assistant lecturers, Political science ni social science mdau
 
hv hawa watu mbona wako kimya sana ??wengine waliishia kufanya written hadi leo hamna updates...wengine oral tokea mwanzoni mwa november mwaka jana hamna updates ..
dah nakupenda tanzania nchi yangu.....
 
Back
Top Bottom