Leo nilikuwa pale Maktaba Complex kwa usaili wa kada fulani. Ilikuwa interview yangu ya kwanza kufanya na Utumish. Hawa watu wanaosaili pale Utumishi hakika ni watu wanaojua kazi yao, na ni wakarimu sana na humtia moyo msailiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.