marikizz Member Joined Mar 9, 2017 Posts 30 Reaction score 8 May 10, 2017 #1 Jamani kama kuna mtu anajua TPB Wameita watu wangapi kwenye usaili wa CREDIT OFFICER GROUP LENDING ANIJUZE,na pia hivi inawezekana ukautwa kwenye usaili wa nafasi ya degree wakati wewe ni diploma ingawaje uliaply ?
Jamani kama kuna mtu anajua TPB Wameita watu wangapi kwenye usaili wa CREDIT OFFICER GROUP LENDING ANIJUZE,na pia hivi inawezekana ukautwa kwenye usaili wa nafasi ya degree wakati wewe ni diploma ingawaje uliaply ?
H haki8 Member Joined Jun 7, 2016 Posts 26 Reaction score 35 May 10, 2017 #2 Kaka na mm nimeitwaa but sijui ni wangapi wapo
M mziya khan Member Joined Apr 6, 2017 Posts 11 Reaction score 3 May 10, 2017 #3 Kama yupo anaefaham walioitwa atuwekeee link
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 9,283 Reaction score 13,715 May 11, 2017 #4 Kama walisema Degree halafu una Diploma Usipoteze Nauli.
M mziya khan Member Joined Apr 6, 2017 Posts 11 Reaction score 3 May 11, 2017 #5 Naomba kuangaliziwa kama namm nmeitwa ally abdallah mziya