Wakuu Tafadhalini Kuna Yeyote anaejua ni lini Usaili Utafanyika wa Zile nafasi zilizotangazwa kule ajira portal mwishoni mwa mwezi wa sita ?
Nina wasiwasi labda inaweza Kuwa mwakani Ili watakaoajiriwa waanze katika mwaka mpya wa Fedha. Yaani July 2026 ?
Anaejua Atutoe hofu Please?