Usaili TCAA

Usaili TCAA

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,916
Wanabodi,kuna kazi walitoa hawa Mamlaka ya Anga Tanzania toka mwaka jana,vipi kuna mtu amepata tetesi juu ya usaili wake?je walishaita watu au ndio yale mambo ya kimya kimyaaaa
 
Back
Top Bottom