Usaili TASAF

Usaili TASAF

mtafutaji2016

Senior Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
105
Reaction score
46
Jamani tasaf wametoa majina ya usaili utakaoanza tar 16 mwezi huu wa 4..nimeitwa kwenye usaili..ningependa kujua mshahara wa tasaf na pia kazi zao ni za mkataba au la? Na kama ni mkataba je ukiisha huo mkataba unapewa mwingine??

Nawasilisha
 
Ndugu,usiwe na tabia ya kupenda kusema sema tu unachojisikia.sikudharau lakini ukweli ni kwamba kabla ya kuomba kazi sehemu yoyote ile unapaswa kufatilia pakoje kabla hujaomba kazi ili paendane na unachohitaji wewe,the way ktk matangazo ya kazi office husika huanza kwa kuelezea wanachofanya ktk jamii,malengo yao na namna wanavyo hitaji yatimie.sehemu wanazofanya kazi pia,ili tu wewe unaetaka kuomba kazi uwe na picha ya nini unaomba.sasa ukija jamiiforum kuuliza maswali kama haya binafsi nashangaa na ninaona hayana mashiko

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mtu mwenyewe bado hata hujafanya huo usahili, ushaanza kuulizia habari za mshahara? Umejuaje kama utaipata hiyo kazi
 
Jamani tasaf wametoa majina ya usaili utakaoanza tar 16 mwezi huu wa 4..nimeitwa kwenye usaili..ningependa kujua mshahara wa tasaf na pia kazi zao ni za mkataba au la? Na kama ni mkataba je ukiisha huo mkataba unapewa mwingine??

Nawasilisha
Hayo majina yako wapi .....tuwekee hapa au link ....maana ukisoma deadline ilivyo kuwa na kuitwa kwenye usahili ni kama miezi sita ya kusubir wakati ilikuwa wiki mbili tuu
2018-04-07%2014.29.24.jpg
 
Jamani tasaf wametoa majina ya usaili utakaoanza tar 16 mwezi huu wa 4..nimeitwa kwenye usaili..ningependa kujua mshahara wa tasaf na pia kazi zao ni za mkataba au la? Na kama ni mkataba je ukiisha huo mkataba unapewa mwingine??

Nawasilisha
Mbona sioni majina
 
Ndugu,usiwe na tabia ya kupenda kusema sema tu unachojisikia.sikudharau lakini ukweli ni kwamba kabla ya kuomba kazi sehemu yoyote ile unapaswa kufatilia pakoje kabla hujaomba kazi ili paendane na unachohitaji wewe,the way ktk matangazo ya kazi office husika huanza kwa kuelezea wanachofanya ktk jamii,malengo yao na namna wanavyo hitaji yatimie.sehemu wanazofanya kazi pia,ili tu wewe unaetaka kuomba kazi uwe na picha ya nini unaomba.sasa ukija jamiiforum kuuliza maswali kama haya binafsi nashangaa na ninaona hayana mashiko

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
hapo hata mimi nimemshangaa,ina maana aliomba kazi kwenye shirika asilolojua hata kazi yake,sasa sijui hiyo interview atafaulu vipi
 
Kazi zao ni za mikataba mkuu mostly 2 years, na wanalipa vizuri sana.
 
Back
Top Bottom