Hongereni wote mlioitwa kwenye usaili. Kama ya Jarkata mmeyasahau anzeni kujikumbusha. Kama uliiva imeiva tu,
Tip;
Mchujo wa kwanza kwenye kwata, written (comprehension) then oral mwisho mtamaliza na vipimo vya afya kabla list haijatoka Tena kwenda kozi. Nawatakia mafanikio mema