Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,695
- 1,771
Mkuu kwani washaita watu jamani
usaili utafanyika tar ngapi?
Mi nimepigiwa but ni written sasa sijajua kama ndo yale mambo ya kuchoreshana tena au ni vipi ?
Mi kuna mtu alikuwa na cm yangu, so akapokea yeye, ila mda amesahau...ni saa ngapi!??
Inabidi kukaza tu ndugu yangu, huwezi jua unaweza kuta ndo nafasi yakoMi nimepigiwa but ni written sasa sijajua kama ndo yale mambo ya kuchoreshana tena au ni vipi ?
jana nimekuta missed call naomba mniwekee no. yao nicheck kama ndio no yao.
jana nimekuta missed call naomba mniwekee no. yao nicheck kama ndio no yao.
Habari wasaka tonge wenzangu.
Kwa wale waliopigiwa simu na NIT, naomba tujuzane muda wa usaili, pia kwa mwenye uzoefu sio mbaya akitumegea kidogo.
Ni nafasi zile za tutorials pamoja na lectures kama sijakosea.
Ahsanteni.