Usaili NIT

Usaili NIT

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,686
Reaction score
1,758
Habari wasaka tonge wenzangu.

Kwa wale waliopigiwa simu na NIT, naomba tujuzane muda wa usaili, pia kwa mwenye uzoefu sio mbaya akitumegea kidogo.

Ni nafasi zile za tutorials pamoja na lectures kama sijakosea.

Ahsanteni.
 
Mi nimepigiwa but ni written sasa sijajua kama ndo yale mambo ya kuchoreshana tena au ni vipi ?
 
Vip jaman kwa mliomba tutorial assistant kwenye position za IT mmeitwa.
 
Nahisi...maana walisema kuwa umeitwa kwenye interview...post sidhani kama walisema ni zipi
 
jana nimekuta missed call naomba mniwekee no. yao nicheck kama ndio no yao.
 
Du! aisee ndio wameshanitosa mm nliomba oline nadhani inaweza kuwa sababu.
 
Habari wasaka tonge wenzangu.

Kwa wale waliopigiwa simu na NIT, naomba tujuzane muda wa usaili, pia kwa mwenye uzoefu sio mbaya akitumegea kidogo.

Ni nafasi zile za tutorials pamoja na lectures kama sijakosea.

Ahsanteni.

Jaman mwenye uzoefu na hizi interview za vyuo atupe mwanga kidogo.
 
Hi Guys , vipi tupe mambo yanakwendaje wamesema ni written interview sasa sisi wengine tulimaliza vyuo 5yrs back je wanaweza kuwa wanafanya mitihani ya real proffessional or ni ile mitihani ya interview / appitute tests
 
Back
Top Bottom