GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Niliomba kazi muhimbili MUHAS kwa kada ya assistant supplies ila siju huwa wanatumia njia gani kutoa taarifa za waliochaguliwa kwa Ajili ya usaili na muda umeenda kidogo mwenye kujua anijuze tafadhali