Usaili magereza

Matatika

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Habari wana jf. naomba kuuliza mwenye update juu ya usaili jeshi la magereza kwa post zilizotangazwa septemba mwaka huu.
 
Sasa jamani si mjee mtupe kidogo ya huko jikoni, mbona mabroo maafande (polisi) walikuwa wanatudokeza kidogo,
 
Tatizo watu hawanaga mzuka kabisa na Magereza sijui polisi kuna nini?
 
Tatizo watu hawanaga mzuka kabisa na Magereza sijui polisi kuna nini?

ni dhana potofu tu,lakin stahiki zote za kimaslah ya polis na magereza ni sawa sawa kabisa, uhamiaji na zimamoto the same,issue ni kazi zao na uniform kitu ambacho kwa mazingira ya sasa hakiangaliwi!! MASILAHI KWANZA
 
well said tena kwa sasa zimamoto wapo juu bz hawana kazi ngumu then mianya ya kupiga hela haijafungwa kama uhamiaji, wanaofuatia kwa uzuri ni polisi
 
Kwa tetes nilizo nazo ni tarehe 16 desember, usiniulize nimezitoa wapi..
 
kwa tetes nilizo nazo ni tarehe 16 desember, usiniulize nimezitoa wapi..
ungetusaidia pleaz kujua hiyo tarehe 16 ni majina ya usaili ndo yanatoka?, ndo siku ya usaili au ndo kuanza kwa kozi?
 
Kwa habari ya chini ya kapeti kozi inatarajiwaa kuanzaa mwakani mwezi wa pili mbea
 
Kwa habari ya chini ya kapeti kozi inatarajiwaa kuanzaa mwakani mwezi wa pili mbea

Kwa hyo wale jkt waliopiga usaili na kupewa majibu mwz wa 10 itabidi wasubiri hadi February. Kama hawajajipanga kwanini walitangaza mapema?
 
jamani y mnapenda kutia presha watu??coz inaanza mwezi huu mwishon kwa watakao qualify!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…