Sasa jamani si mjee mtupe kidogo ya huko jikoni, mbona mabroo maafande (polisi) walikuwa wanatudokeza kidogo,
Tatizo watu hawanaga mzuka kabisa na Magereza sijui polisi kuna nini?
Tatizo watu hawanaga mzuka kabisa na Magereza sijui polisi kuna nini?
ni dhana potofu tu,lakin stahiki zote za kimaslah ya polis na magereza ni sawa sawa kabisa, uhamiaji na zimamoto the same,issue ni kazi zao na uniform kitu ambacho kwa mazingira ya sasa hakiangaliwi!! MASILAHI KWANZA
Kwa tetes nilizo nazo ni tarehe 16 desember, usiniulize nimezitoa wapi..
ungetusaidia pleaz kujua hiyo tarehe 16 ni majina ya usaili ndo yanatoka?, ndo siku ya usaili au ndo kuanza kwa kozi?kwa tetes nilizo nazo ni tarehe 16 desember, usiniulize nimezitoa wapi..
kwa maana hiyo tusipawekee matumaini kabisa kwa sasa.kwa habari ya chini ya kapeti kozi inatarajiwaa kuanzaa mwakani mwezi wa pili mbea
Kwa habari ya chini ya kapeti kozi inatarajiwaa kuanzaa mwakani mwezi wa pili mbea
jamani y mnapenda kutia presha watu??coz inaanza mwezi huu mwishon kwa watakao qualify!!
dah mkuu tupe bas kidogo habar ili tusicheze mbali na mitandaojamani y mnapenda kutia presha watu??coz inaanza mwezi huu mwishon kwa watakao qualify!!