Usaili EFC Tanzania Microfinance Bank Limited

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,631
2,038
Habari wana jukwaa, ninapenda kuchukuwa nafasi hii kuuliza vipi EFC tayari wameshaita watu kwa usaili? Maana dedline ilikuwa tarehe 17 february mimi niliomba nafasi ya customer services officer
 
Kuna mashirika hapa nchini utakuta hayana nafasi za kazi lakini yanatangaza nafasi, kuonyesha umma kwamba wale watu pale kazi hawakupitia mchakato km huo hivyo hutangazwa ili kupumbaza watu. Huwezi kuta wakiita watu kwenye usaili zaidi ya kutoa matangazo Mara kwa Mara
 
Hawa jamaa (EFC) wameita leo kuna peoples naona wamepata call na interview ni jumatatu....Waliopata call ni position gani Zaidi coz zilikuwa post nyingi nakumbuka///
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom