bukoba04 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1,402 Reaction score 1,293 Jan 5, 2016 #1 Wadau hawa jamaa wa Duce waliaidi kuwapigia watu simu, kwa wale watakaofanikiwa kufaulu kuendelea na hatua ya oral.. Swali je, kuna aliyeitwa humu ndani, ili tuendelee kuwaza mambo mengine!?
Wadau hawa jamaa wa Duce waliaidi kuwapigia watu simu, kwa wale watakaofanikiwa kufaulu kuendelea na hatua ya oral.. Swali je, kuna aliyeitwa humu ndani, ili tuendelee kuwaza mambo mengine!?
mdafanga JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 618 Reaction score 197 Jan 6, 2016 #2 Mimi sijapigiwa pia mkuu...ila nilifanya ule usahili wao....walio pigiwa watatujuza
juakal JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 587 Reaction score 125 Jan 9, 2016 #3 Mimi pia nilifanya. Sikupigiwa hadi leo. Nadhani ambao hatukupigiwa tulikosa
mdafanga JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 618 Reaction score 197 Jan 9, 2016 #4 Tujipange upya...kwa sahili zingne.
Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,047 Reaction score 3,784 Jan 22, 2016 #5 bukoba04 said: Wadau hawa jamaa wa Duce waliaidi kuwapigia watu simu, kwa wale watakaofanikiwa kufaulu kuendelea na hatua ya oral.. Swali je, kuna aliyeitwa humu ndani, ili tuendelee kuwaza mambo mengine!? Click to expand... Mkuu #bukoba04 watu walipigiwa simu siku ile ile jioni kwa ajili ya oral.Taarifa hizi ni kutoka chanzo sahihi.
bukoba04 said: Wadau hawa jamaa wa Duce waliaidi kuwapigia watu simu, kwa wale watakaofanikiwa kufaulu kuendelea na hatua ya oral.. Swali je, kuna aliyeitwa humu ndani, ili tuendelee kuwaza mambo mengine!? Click to expand... Mkuu #bukoba04 watu walipigiwa simu siku ile ile jioni kwa ajili ya oral.Taarifa hizi ni kutoka chanzo sahihi.