Usaili Diamond Trust Bank

Usaili Diamond Trust Bank

Mitomingi8s

Senior Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
132
Reaction score
39
Hello wanajamii kuna yeyote anayejua kuhusu second interview ya DTB kwa wale waliofanya interview, post ya Officers Internal Audit. Nijuzeni progress wameshaita? maana walipiga tu simu
 
ukiona manyoya ujue kaliwa!!! umeshapga written tayar!?
 
Hello wanajamii kuna yeyote anayejua kuhusu second interview ya DTB kwa wale waliofanya interview, post ya Officers Internal Audit. Nijuzeni progress wameshaita? maana walipiga tu simu

Jaman si ni zile ambazo deadlne ilikua jumamosi?wameita lini jaman. Duuu
 
Afadhali wewe umenikumbusha hata deadline ilikuwa juzi tu.Hapa roho ilikuwa imeshaaanza kuniuma kuwa sasa kumbe barua hazisomwi wanatusumbua bure.
 
wameshaita tayar na watu wamepga written interview yenye maswal 35 kwa dakika 20! na training imeshaanza kwa baadhi ya post pia!
 
Duu haswaa je vipi post ya Internal Audit officer wameshaita kwenye hiyo training? maana mimi nilipiga tu hiyo written
 
kwa post ya internal audit officer cjajua! labda uendelee kuwasikilizia mkuu!
 
wadau zile post za banking officers DTB zilikua deadline 23/08/2014 kuna mwenye taarifa yoyote?
 
iyo post ata me nimeomba deadline ilikua tarehe 23 me bado cjapata info yoyote
 
Hata mm niliomba bank officer ambayo deaadlne ilikua tar 23 ndo nkashangaa kusikia watu wameitwa humu ndan alhamis ya tar 27 na washafanya written ndo nikashngaa walifanya lin izo process?au ndo walikua wana watu wao tayar?
 
wadau zile post za banking officers DTB zilikua deadline 23/08/2014 kuna mwenye taarifa yoyote?
Nmesikia kuna watu humuhumu ndani. Wameitwa na alhamisi walikua washfanya written tayar wanasubiria majib ya oral,nmeshangaa maana deadlne ilikua tar 23 but tar 27 tayar watu wanaanz kuuliza majib ya written test!kwakwel nmeshangaa wameita lin?na pepa wamefanya lini?au ndo tuseme walikua na wat wao tayar?hii kwel tz
 
Jamani kuna mwenye update kuhusu hizi post hasa officer Internal Audit pale DTB mwenye kufahama atupie hapa tujue
 
Nmesikia kuna watu humuhumu ndani. Wameitwa na alhamisi walikua washfanya written tayar wanasubiria majib ya oral,nmeshangaa maana deadlne ilikua tar 23 but tar 27 tayar watu wanaanz kuuliza majib ya written test!kwakwel nmeshangaa wameita lin?na pepa wamefanya lini?au ndo tuseme walikua na wat wao tayar?hii kwel tz

duuh hata mimi hawajaniita tena nilituma kwa EMS kabisa.....Roho inaniumaje?
 
Nmesikia kuna watu humuhumu ndani. Wameitwa na alhamisi walikua washfanya written tayar wanasubiria majib ya oral,nmeshangaa maana deadlne ilikua tar 23 but tar 27 tayar watu wanaanz kuuliza majib ya written test!kwakwel nmeshangaa wameita lin?na pepa wamefanya lini?au ndo tuseme walikua na wat wao tayar?hii kwel tz

ukiona manyoya basi ndo ameshaliwa, ndivyo waswahili wasemavyo. Mkuu hiyo mi nilishaipotezeaga kitambo tu
 
Back
Top Bottom