mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
wanajamvi waliohudhuria usaili wa bvr jimbo la kinondoni tupeane update, ni maswali gan yanaulizwa
mkuu nipigie naenda kwny usaili j4cha kwanza unaombwa utoe cheti chako cha computer en unakaa na msaili wako anakwambia either ufungue word, excel au power point bc umemaliza. anakujudge kupitia hapo